Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 43:1-2

Isaya 43:1-2 BHN

Mwenyezi-Mungu aliyewaumba enyi watu wa Yakobo, yeye aliyewafanya enyi watu wa Israeli, asema: “Msiogope, maana mimi nimewakomboa; nimewaita kwa jina nanyi ni wangu. Mkipita katika mafuriko, mimi nitakuwa pamoja nanyi; mkipita katika mito, haitawashinda nguvu. Mkitembea katika moto, hamtaunguzwa; mwali wa moto hautawaunguza.

Soma Isaya 43

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 43:1-2