Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 43:1-2

Isaya 43:1-2 NEN

Lakini sasa hili ndilo asemalo BWANA, yeye aliyekuumba, ee Yakobo, yeye aliyekuhuluku, ee Israeli: “Usiogope kwa maana nimekukomboa, nimekuita wewe kwa jina lako, wewe u wangu. Unapopita kwenye maji makuu, nitakuwa pamoja nawe, unapopita katika mito ya maji, hayatakugharikisha. Utakapopita katika moto, hutaungua, miali ya moto haitakuunguza.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 43:1-2