Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 43:1-2

Isaya 43:1-2 SRUV

Lakini sasa, BWANA aliyekuhuluku, Ee Yakobo, yeye aliyekuumba, Ee Israeli, asema hivi, Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu. Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.

Soma Isaya 43

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 43:1-2