Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 48:15-16

Mwanzo 48:15-16 BHN

Kisha Israeli akambariki Yosefu, akisema, “Mungu ambaye babu zangu Abrahamu na Isaka walimtii maishani mwao, Mungu ambaye ameniongoza maishani mwangu hadi leo, na malaika ambaye aliniokoa katika mabaya yote, na awabariki vijana hawa! Jina langu na majina ya wazee wangu, Abrahamu na Isaka, yadumishwe katika vijana hawa; nao waongezeke kwa wingi duniani.”

Soma Mwanzo 48

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 48:15-16