Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 48:15-16

Mwanzo 48:15-16 SRUV

Akambariki Yusufu, akasema, Mungu ambaye baba zangu, Abrahamu na Isaka, walienenda mbele zake, yeye Mungu aliyenilisha, maisha yangu yote, hata siku hii ya leo, naye Malaika aliyeniokoa na maovu yote, na awabariki vijana hawa; jina langu na litajwe juu yao, na jina la baba zangu, Abrahamu na Isaka; na wawe wingi wa watu kati ya nchi.

Soma Mwanzo 48

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 48:15-16