Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 48:15-16

Mwa 48:15-16 SUV

Akambariki Yusufu, akasema, Mungu ambaye baba zangu, Ibrahimu na Isaka, walienenda mbele zake, yeye Mungu aliyenilisha, maisha yangu yote, hata siku hii ya leo, naye Malaika aliyeniokoa na maovu yote, na awabariki vijana hawa; jina langu na litajwe juu yao, na jina la baba zangu, Ibrahimu na Isaka; na wawe wingi wa watu kati ya nchi.

Soma Mwa 48

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 48:15-16