Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 4:8-10

Mwanzo 4:8-10 BHN

Baadaye, Kaini akamwambia Abeli nduguye, “Twende nje shambani” Basi, walipokuwa shambani, Kaini akamvamia Abeli nduguye, akamuua. Mwenyezi-Mungu akamwuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Kaini akamjibu, “Mimi sijui! Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?” Mwenyezi-Mungu akasema, “Umefanya nini? Damu ya ndugu yako yanililia kutoka udongoni.

Soma Mwanzo 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 4:8-10