Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 4:8-10

Mwanzo 4:8-10 SRUV

Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]. Ikawa walipokuwapo uwandani, Kaini akamwinukia Habili nduguye, akamwua. BWANA akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.

Soma Mwanzo 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 4:8-10