Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 4:8-10

Mwanzo 4:8-10 NEN

Basi Kaini akamwambia ndugu yake Abeli, “Twende shambani.” Walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua. Kisha BWANA akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Akamjibu, “Sijui, je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?” BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 4:8-10