Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 1:1-3

Mwanzo 1:1-3 BHN

Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia. Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho ya Mungu ilikuwa ikitanda juu ya maji. Mungu akasema, “Mwanga uwe.” Mwanga ukawa.

Soma Mwanzo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 1:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha