Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 1:1-3

Mwa 1:1-3 SUV

Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Soma Mwa 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 1:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha