Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 1:1-3

Mwanzo 1:1-3 SRUV

Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa tupu, tena bila umbo, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Soma Mwanzo 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 1:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha