Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 6:7-8

Wagalatia 6:7-8 BHN

Msidanganyike; Mungu hafanyiwi dhihaka. Alichopanda mtu ndicho atakachovuna. Apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna humo uharibifu; lakini akipanda katika Roho, atavuna kutoka kwa Roho uhai wa milele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wagalatia 6:7-8