Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 31:12-13

Kutoka 31:12-13 BHN

Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli hivi: Nyinyi mtaadhimisha Sabato zangu, kwa sababu hizo ni ishara kati yenu na mimi kwa vizazi vyote kwamba mimi ndimi ninayewatakasa.

Soma Kutoka 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 31:12-13