Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 31:12-13

Kutoka 31:12-13 SRUV

BWANA akasema na Musa, na kumwambia, Kisha, nena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Hakika mtazishika Sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati yenu na mimi katika vizazi vyenu vyote; ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi.

Soma Kutoka 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 31:12-13