Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 31:12-13

Kut 31:12-13 SUV

BWANA akasema na Musa, na kumwambia, Kisha, nena wewe na wana wa Israeli, na kuwaambia, Hakika mtazishika Sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi katika vizazi vyenu vyote; ili mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi.

Soma Kut 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 31:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha