Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 2:19-20

Waefeso 2:19-20 BHN

Basi, nyinyi si wageni tena, wala si watu wa nje. Nyinyi ni raia pamoja na watu wa Mungu, na ni watu wa jamaa ya Mungu. Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 2:19-20