Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Efe 2:19-20

Efe 2:19-20 SUV

Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumbani mwake Mungu. Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni.

Soma Efe 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Efe 2:19-20