Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 32:46-47

Kumbukumbu la Sheria 32:46-47 BHN

aliwaambia, “Yawekeni mioyoni mwenu maneno yote ambayo ninawapeni leo. Lazima muwaamuru watoto wenu ili wafuate kwa uaminifu maneno yote ya sheria hii. Maana sheria hii si maneno matupu bali ni uhai wenu; kwa sheria hii mtaishi maisha marefu katika nchi mnayokwenda kuimiliki, ngambo ya mto Yordani.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Sheria 32:46-47