Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 32:46-47

Kum 32:46-47 SUV

akawaambia, Yawekeni mioyoni mwenu maneno yote ambayo nashuhudia kwenu hivi leo; nayo waamuruni watoto wenu, wayatunze na kuyafanya maneno yote ya torati hii. Kwa maana si jambo lisilofaa kwenu; maana, ni maisha yenu, na kwa jambo hili mtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi mwivukiayo Yordani kuimiliki.

Soma Kum 32

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kum 32:46-47