Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 32:46-47

Kumbukumbu 32:46-47 NEN

akawaambia, “Yawekeni moyoni maneno yote ambayo nimewatangazia kwa makini siku hii ya leo, ili kwamba mpate kuwaagiza watoto wenu wayatii kwa bidii maneno yote ya sheria hii. Siyo maneno matupu tu kwenu, bali ni uzima wenu. Kwa hayo mtaishi maisha marefu katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 32:46-47