Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 12:8-10

Kumbukumbu la Sheria 12:8-10 BHN

“Msifanye kama tunavyofanya sasa, kila mtu kama apendavyo mwenyewe; kwa sababu bado hamjaingia mahali pa kupumzikia na katika urithi anaowapeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Lakini mtakapovuka mto Yordani na kuishi katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa mu irithi, na atakapowapatia pumziko msisumbuliwe na adui zenu wote watakaowazunguka ili muishi salama