Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 12:8-10

Kumbukumbu 12:8-10 NEN

Msifanye kama tunavyofanya hapa leo, kila mtu anavyopenda mwenyewe, kwa kuwa bado hamjafikia mahali pa mapumziko na urithi ambao BWANA Mungu wenu anawapa. Lakini mtavuka Yordani na kuishi katika nchi BWANA Mungu wenu anayowapa kama urithi, naye atawapa pumziko kutokana na adui zenu wote wanaowazunguka ili ninyi mpate kuishi kwa salama.