Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 26:19-20

Matendo 26:19-20 BHN

“Hivyo, mfalme Agripa, sikuweza kuwa mkaidi kwa maono hayo ya mbinguni. Ila nilianza kuhubiri kwanza kwa watu wa Damasko, halafu kwa wale wa Yerusalemu na nchi yote ya Yudea, na pia kwa watu wa mataifa mengine. Niliwahimiza wamgeukie Mungu na kuonesha kwa vitendo kwamba wamebadilisha mioyo yao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 26:19-20