Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 26:19-20

Mdo 26:19-20 SUV

Kwa hiyo, Ee Mfalme Agripa, sikuyaasi yale maono ya mbinguni, bali kwanza niliwahubiri wale wa Dameski na Yerusalemu, na katika nchi yote ya Uyahudi, na watu wa Mataifa, kwamba watubu na kumwelekea Mungu, wakiyatenda matendo yanayopatana na kutubu kwao.

Soma Mdo 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 26:19-20