Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 1:7-8

2 Wafalme 1:7-8 BHN

Mfalme akauliza, “Ni mtu gani huyo aliyekutana nanyi na kuwaambieni mambo hayo?” Wao wakamjibu, “Alikuwa amevaa vazi la manyoya na mshipi wa ngozi kiunoni.” Mfalme akasema, “Huyo ni Elia kutoka Tishbe!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 1:7-8