2 Wafalme 1:7-8
2 Wafalme 1:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme akauliza, “Ni mtu gani huyo aliyekutana nanyi na kuwaambieni mambo hayo?” Wao wakamjibu, “Alikuwa amevaa vazi la manyoya na mshipi wa ngozi kiunoni.” Mfalme akasema, “Huyo ni Elia kutoka Tishbe!”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12 Wafalme 1:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akawaambia, Je! Mtu yule aliyetokea, akaonana nanyi, akawaambia maneno hayo, alikuwa mtu wa namna gani? Wakamwambia, Alikuwa amevaa vazi la manyoya, tena amejifunga shuka ya ngozi kiunoni mwake. Naye akasema, Ndiye yule Eliya Mtishbi.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 12 Wafalme 1:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Je! Mtu yule aliyetokea, akaonana nanyi, akawaambia maneno hayo, alikuwa mtu wa namna gani? Wakamwambia, Alikuwa amevaa vazi la manyoya, tena amejifunga shuka ya ngozi kiunoni mwake. Naye akasema, Ndiye yule Eliya Mtishbi.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 1