Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 1:7-8

2 Wafalme 1:7-8 NEN

Mfalme akawauliza, “Alikuwa mtu wa namna gani ambaye mlikutana naye, akawaambia hili?” Wakamjibu, “Alikuwa mtu aliyekuwa na vazi la manyoya na mkanda wa ngozi kiunoni mwake.” Mfalme akasema, “Huyo alikuwa ni Eliya, Mtishbi.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 1:7-8