Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Fal 1:7-8

2 Fal 1:7-8 SUV

Akawaambia, Je! Mtu yule aliyetokea, akaonana nanyi, akawaambia maneno hayo, alikuwa mtu wa namna gani? Wakamwambia, Alikuwa amevaa vazi la manyoya, tena amejifunga shuka ya ngozi kiunoni mwake. Naye akasema, Ndiye yule Eliya Mtishbi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Fal 1:7-8