Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 3:17-18

2 Wakorintho 3:17-18 BHN

Hapa “Bwana” ni Roho; na pale alipo Roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru. Basi, sisi sote ambao nyuso zetu hazikufunikwa, tunaona kama katika kioo, utukufu wa Bwana; tunabadilishwa tufanane zaidi na huo mfano wake kwa utukufu mwingi zaidi. Hiyo ni kazi yake Roho wa Bwana.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 3:17-18