Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 3:17-18

2 Kor 3:17-18 SUV

Basi “Bwana” ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru. Lakini sisi sote, kwa uso usiotiwa utaji, tukiurudisha utukufu wa Bwana, kama vile katika kioo, tunabadilishwa tufanane na mfano uo huo, toka utukufu hata utukufu, kama vile kwa utukufu utokao kwa Bwana, aliye Roho.

Soma 2 Kor 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 3:17-18