Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 13:11-12

2 Wakorintho 13:11-12 BHN

Kwa sasa, ndugu, kwaherini! Muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi. Salimianeni kwa ishara ya upendo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 13:11-12