2 Wakorintho 13:11-12
2 Wakorintho 13:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sasa, ndugu, kwaherini! Muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi. Salimianeni kwa ishara ya upendo.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 132 Wakorintho 13:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hatimaye, ndugu, kwaherini; mtimilike, mfarijike, nieni mamoja, mkae katika amani; na Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi. Salimianeni kwa busu takatifu. Watakatifu wote wanawasalimu.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 13