2 Wakorintho 13:11-12
2 Wakorintho 13:11-12 NEN
Hatimaye, ndugu zangu, kwaherini. Kuweni wakamilifu, mkafarijike, kuweni wa nia moja, kaeni kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi. Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu.