Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 11:3-4

2 Wakorintho 11:3-4 BHN

Lakini naogopa kwamba, kama vile yule nyoka kwa hila zake za uongo alimdanganya Hawa, fikira zenu zaweza kupotoshwa, mkauacha uaminifu wenu wa kweli kwa Kristo. Maana mtu yeyote ajaye na kumhubiri Yesu aliye tofauti na yule tuliyemhubiri, nyinyi mwampokea kwa mikono miwili; au mnakubali roho au Injili tofauti kabisa na ile mliyopokea kutoka kwetu!

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 11:3-4