Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 11:3-4

2 Kor 11:3-4 SUV

Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo. Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye!

Soma 2 Kor 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 11:3-4