Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Mambo ya Nyakati 20:12-13

2 Mambo ya Nyakati 20:12-13 BHN

Wewe ndiwe Mungu wetu! Waadhibu, kwani sisi hatuna uwezo wowote mbele ya jeshi kubwa kama hili linalotujia. Hatujui la kufanya ila tunatazamia msaada kutoka kwako.” Wanaume wote wa Yuda, pamoja na wake zao na watoto wao, walikuwa wamesimama hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Mambo ya Nyakati 20:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha