Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Nya 20:12-13

2 Nya 20:12-13 SUV

Ee Mungu wetu, je! Hutawahukumu? Maana sisi hatuna uwezo juu ya jamii kubwa hii, wanaotujia juu yetu; wala hatujui tufanyeje; lakini macho yetu yatazama kwako. Wakasimama Yuda wote mbele za BWANA, pamoja na wadogo wao, na wake zao, na watoto wao.

Soma 2 Nya 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Nya 20:12-13

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha