Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 6:15-16

1 Timotheo 6:15-16 BHN

Kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na Mungu mwenye heri na aliye Mtawala pekee, Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana. Yeye peke yake anaishi milele katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. Kwake iwe heshima na uwezo wa milele! Amina.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 6:15-16