Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 6:15-16

1 Timotheo 6:15-16 SRUV

ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyehimidiwa, Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana; ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 6:15-16