Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 6:15-16

1 Tim 6:15-16 SUV

ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyehimidiwa, Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana; ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.

Soma 1 Tim 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 6:15-16