Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 30:6-7

1 Samueli 30:6-7 BHN

Sasa, Daudi alikuwa katika matatizo makubwa kwa kuwa watu wake walikuwa na uchungu rohoni mwao kwa kupoteza watoto wao; hivyo wakawa wanamtishia kumpiga mawe. Lakini Daudi alijipa moyo kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wake. Daudi akamwambia kuhani Abiathari mwana wa Ahimeleki, “Niletee kizibao cha kuhani.” Abiathari akampelekea.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samueli 30:6-7