Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 30:6-7

1 Samweli 30:6-7 SRUV

Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake. Kisha Daudi akamwambia Abiathari, kuhani, mwana wa Ahimeleki, Tafadhali niletee hapa hiyo naivera. Naye Abiathari akamletea Daudi naivera huko.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 30:6-7