Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 30:6-7

1 Sam 30:6-7 SUV

Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana nafsi za hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake. Kisha Daudi akamwambia Abiathari, kuhani, mwana wa Ahimeleki, Tafadhali niletee hapa hiyo naivera. Naye Abiathari akamletea Daudi naivera huko.

Soma 1 Sam 30

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 30:6-7