Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 30:6-7

1 Samweli 30:6-7 NEN

Daudi alihuzunika sana kwa sababu watu walikuwa wakisemezana juu ya kumpiga kwa mawe. Kila mmoja alikuwa na uchungu rohoni kwa sababu ya wanawe na binti zake. Lakini Daudi akajitia nguvu katika BWANA, Mungu wake. Kisha Daudi akamwambia kuhani Abiathari mwana wa Ahimeleki, “Niletee kisibau.” Abiathari akamletea

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 30:6-7