Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 1:14-16

1 Petro 1:14-16 BHN

Kama watoto wa Mungu wenye utii, msikubali kamwe kufuata tena tamaa mbaya mlizokuwa nazo wakati mlipokuwa wajinga. Bali mnapaswa kuwa watakatifu katika mwenendo wenu wote, kama vile yule aliyewaiteni ni mtakatifu. Maandiko yasema: “Muwe watakatifu, kwa kuwa mimi alivyo mtakatifu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 1:14-16