Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 8:44-45

1 Wafalme 8:44-45 BHN

“Watu wako wakienda vitani kupigana na adui yao kokote kule utakakowapeleka, nao wakikuomba wakielekea mji uliouchagua na nyumba niliyoijenga kwa ajili ya jina lako, nakusihi usikie sala yao na maombi yao huko mbinguni, uwapatie ushindi vitani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 8:44-45