Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohane 3:4-6

1 Yohane 3:4-6 BHN

Kila mtu atendaye dhambi anavunja sheria ya Mungu, maana dhambi ni uvunjaji wa sheria. Mnajua kwamba Kristo alikuja kuziondoa dhambi zetu, na kwamba kwake hamna dhambi yoyote. Basi, kila aishiye katika muungano na Kristo hatendi dhambi; lakini kila mtu atendaye dhambi hakupata kamwe kumwona wala kumjua Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohane 3:4-6