Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 3:4-6

1 Yohana 3:4-6 NEN

Kila mtu atendaye dhambi afanya uasi, kwa kuwa dhambi ni uasi. Lakini mwajua ya kuwa yeye alidhihirishwa ili aziondoe dhambi, wala ndani yake hamna dhambi. Kila mtu akaaye ndani yake hatendi dhambi. Kila mtu atendaye dhambi hakumwona yeye wala hakumtambua.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 3:4-6