Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 3:4-6

1 Yoh 3:4-6 SUV

Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa dhambi ni uasi. Nanyi mnajua ya kuwa yeye alidhihirishwa, ili aziondoe dhambi; na dhambi haimo ndani yake. Kila akaaye ndani yake hatendi dhambi; kila atendaye dhambi hakumwona yeye, wala hakumtambua.

Soma 1 Yoh 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 3:4-6